Home Ligi Kuu RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO LEO

RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO LEO


LEO Aprili 27 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili kuna mechi mbili ambazo zitachezwa kwa timu kusaka point tatu muhimu.

Uwanja wa Gwambina Complex itakuwa ni Gwambina FC v Mwadui FC, saa 10:00 jioni.

Uwanja wa Mkapa ni Simba v Dodoma Jiji, saa 1:00 usiku.  

SOMA NA HII  MWADUI FC: WACHEZAJI WA SIMBA WANGEKUWA KWETU TUNGESHINDA