Home Ligi Kuu VIDEO: KIPA WA DODOMA JIJI AKUBALI UWEZO WA SIMBA

VIDEO: KIPA WA DODOMA JIJI AKUBALI UWEZO WA SIMBA

KIPA wa Dodoma Jiji, Manyika ambaye jana alikaa langoni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba na kuokota nyavuni mabao matatu amesema kuwa waliadhibiwa kutokana na wapinzani wao kutumia udhaifu wao kwenye mchezo wao mbele ya Simba. Ameongeza kuwa Simba ni timu bora kwa sasa.

 

SOMA NA HII  MAKOSA YAWATESA RUVU SHOOTING...KOCHA MKUU AFUNGUKA...ISHU NZIMA IPO HIVI A-Z