[the_ad id="25893"]
BAADA ya Klabu ya Simba kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa ni vinara wa kundi A na pointi zao 13 licha ya kupoteza mchezo wao wa mwisho kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Al Ahly wameweka bayana kilichowaponza na hesabu zao kwa sasa