Home Simba SC VIDEO: SIMBA YAMWANGA MKWANJA MREFU CAF

VIDEO: SIMBA YAMWANGA MKWANJA MREFU CAF

WAKATI kesho Aprili 9 kikitarajiwa kuvaana na wapinzani wao Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi imeelezwa kuwa kikosi hicho kimemwanga mkwanja wa kutosha katika mashindano hayo makubwa barani Afrika yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika, (Caf). 

 

SOMA NA HII  WAKATI WAKITENGA BIL 25..., HIVI NDIVYO SIMBA WALITUMIA BIL 15 KUSHINDA NGAO ZA JAMII TU...