Home Habari za michezo BREAKING NEWS : TANZANIA KUWA MWENYEJI WA AFCON 2027

BREAKING NEWS : TANZANIA KUWA MWENYEJI WA AFCON 2027

Habari za Michezo leo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mwaka 2027.

Ni rasmi michuano hiyo itachezwa katika nchi hizo tatu.

SOMA NA HII  BAADA YA UKIMYA MREFU...SIMBA WAANIKA KILICHONYUMA YA PAZIA ISHU YA MAJERAHA YA OKRAH...