Home Simba SC VIDEO; SIMBA YATUMA SALAMU KWA WAARABU WA MISRI

VIDEO; SIMBA YATUMA SALAMU KWA WAARABU WA MISRI

BAADA ya Simba kumalizana na AS Vita kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi kete yao ya mwisho ni dhidi ya Al Ahly ambao ni Waarabu wa Misri.


 Mchezo wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkapa, ubao ulisoma Simba 1-0 Al Ahly hivyo mchezo huo kwa timu hizo mbili ambazo zimetinga hatua ya robo fainali unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. 

AS Vita ambayo ilifungwa mabao 4-1 na Simba itamalizana na Al Merrikh iliyotoka kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 na A l Ahly na hizi mbili hazijatinga hatua ya robo fainali kutoka kundi A, salamu za balozi wa Simba hizi hapa

 

SOMA NA HII  SIMBA WALIAMSHA DUDE WATOA KAULI NZITO HUKO SUPER LEAGUE, SIO AL AHLY WA MAMELODI KAZI IPO HIVI