Home Yanga SC VIDEO: YANGA:BADO TUNA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU BARA

VIDEO: YANGA:BADO TUNA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU BARA

LICHA ya kikosi cha Yanga kugawana pointi mojamoja mbele ya KMC jana Aprili 10 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara bado mashabiki wanaamini kwamba wananafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara

 

SOMA NA HII  UTATA WA BAO LA YANGA MBELE YA NAMUNGO FC UMEMALIZWA NAMNA HII