News

VIDEO: SHABIKI ALIYEJICHORA NEMBO YA SIMBA ATAJA SABABU YA KUIPENDA TIMU HIYO

admin May 7, 2021 8:47 am

SHABIKI mkubwa wa Klabu ya Simba, Aggy ambaye amejichora nembo ya Simba kwenye mkono wake amesema kuwa aliamua kujiita Miss Simba kwa kuwa anaamini kwamba jina la Simba litabaki ila mchezaji anaweza kuondoka katika timu ambayo atakuwa hapo. Pia ameweka wazi kuwa familia yake ni familia ya mpira.

 

VIDEO:  MECHI YA SIMBA V YANGA HAWA HAPA WAMESHIKILIA USHINDI YANGA: HATUNA HOFU NA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply