Home Ligi Kuu TAKWIMU ZA MCHEZO WA LIGI IHEFU 1-1 POLISI TANZANIA

TAKWIMU ZA MCHEZO WA LIGI IHEFU 1-1 POLISI TANZANIA

 

IHEFU FC ya Mbeya inayonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila leo Mei 12 imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Polisi Tanzania mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Highlands.

Hizi hapa takwimu za mchezo wa leo


SOMA NA HII  POLISI TANZANIA YAIPIGIA HESABU NAFASI YA KMC