Home Azam FC RASMI KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KMC Azam FC RASMI KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KMC By admin - May 15, 2021 768 0 HIKI hapa kikosi rasmi cha Azam FC inayonolewa na George Lwandamina kinachotarajia kuvaana na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex leo Jumamosi saa 1.00 usiku, Mei 15.