Yanga SC
EDNA LEMA: HAKUNA MWISHO WA MAFANIKIO, HAKUNA MWISHO WA KUCHUKUA UBINGWA
KOCHA wa Yanga Princess, Edna Lema amesema kuwa kushindwa kutwaa ubingwa leo Mei 16 kwao sio jambo baya kwa sababu ni mipango ya Mungu, hivyo kama angepanga waweze kutwaa ubingwa huo wangeuchukua kwa kuwa ni Simba Queens wameuchukua basi wanastahili pongezi.
Pia amewashukuru mashabiki wa Yanga Princess kwa kusema kuwa wasikate tamaa kwa kuwa hakuna mwisho wa mafanikio.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.