Yanga SC

VIDEO: ASHA MASAKA MFUNGAJI BORA, AWAOMBA MASHABIKI KUTOKATA TAMAA

admin May 16, 2021 5:47 pm


ASHA Masaka mfungaji bora wa Ligi ya Wanawake Tanzania amesema kuwa ili kuweza kufikia mafanikio ni lazima kupambana bila kukata tamaa huku akiwapa pongezi mabingwa wa taji hilo ambao ni Simba Queens. 


Asha pia amewaomba mashabiki wasiwe wanyonge wana amini kwamba msimu ujao watafanya vizuri kufikia malengo ambayo wamejiwekea.

 

EDNA LEMA: HAKUNA MWISHO WA MAFANIKIO, HAKUNA MWISHO WA KUCHUKUA UBINGWA VIDEO: DAUD YANGA APIGA HESABU KUSHTAKI KISA KUYEYUKA KWA MECHI YA SIMBA V YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply