Home news VIDEO: MCHEZAJI BORA WA SIMBA QUEENS AWEKA WAZI MIPANGO IJAYO

VIDEO: MCHEZAJI BORA WA SIMBA QUEENS AWEKA WAZI MIPANGO IJAYO

HUYU hapa mchezaji bora wa kikosi cha Simba Queens inayonolewa na Kocha Mkuu, Mussa Hassan, amesema kuwa tuzo ambayo ameipata inamuongezea hamasa ya kufanya vizuri wakati ujao ili timu iweze kufikia malengo ambayo wamejiwekea na msimu ujao pia wanahitaji kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake. Pia ameweka wazi mipango yao katika mashindano ya kimataifa.

 

SOMA NA HII  BAADA YA KUMKATAA AWALI KUWA HAENDANI NA FALSAFA YAKE....HATIMAYE ZORAN ANYOOSHA MIKONO JUU KWA CHAMA....