Home Yanga SC BABA LEVO: KAMA YANGA IKIFUNGWA NA SIMBA DIAMOND ANIFUKUZE KAZI

BABA LEVO: KAMA YANGA IKIFUNGWA NA SIMBA DIAMOND ANIFUKUZE KAZI

KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 8, shabiki wa Yanga na msanii, Baba Levo amesema kuwa anaamini timu yake itashinda na kuweka ahadi kwamba ikiwa itafungwa basi atamwambia bosi wake Diamond amfukuze kazi

 

SOMA NA HII  JE ! HUU NDIO MWISHO WA MAPINDUZI BALAMA NDANI YA YANGA SC?