Home video SIMBA: TULISHINDWA KUTUMIA NAFASI AMBAZO TULIZITENGENEZA

SIMBA: TULISHINDWA KUTUMIA NAFASI AMBAZO TULIZITENGENEZA

BAADA ya kutolewa kwenye hatua ya robo fainali dhidi ya Kaizer Chiefs, shabiki wa Simba amesema kuwa Klabu Bingwa Afrika imewaonyesha namna walivyo bora na maana halisi ya kuwa na kikosi kipana, pia ameongeza kuwa wameshindwa kutumia nafasi walizotengeneza na wanajipanga kwa ajili ya wakati ujao

 

SOMA NA HII  VIDEO:RUVU SHOOTING YAIPIGA MKWARA YANGA, KAMILI KWA MCHEZO WA KESHO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here