Home Ligi Kuu VIDEO: KAGERA SUGAR WATAJA SABABU YA KUFUNGWA,

VIDEO: KAGERA SUGAR WATAJA SABABU YA KUFUNGWA,

MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Kagera Sugar, Yusuph Mhilu amesema kuwa walimuahidi mwalimu wao, (Francis Baraza) ushindi ili kumfariji ila walikwama kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora.


 Nyota huyo amesema kuwa sababu kubwa iliyowafanya wakapoteza ni kufanya makosa kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Pia ameeleza kuwa anaweza kuondoka ndani ya kikosi hicho ikiwa atapata ofa.

 

SOMA NA HII  JUMA KASEJA: KMC INA KIKOSI BORA, BADO TUNAPAMBANA