Home Uncategorized MAJEMBE HAYA MANNE YA KIMATAIFA YAKUBALI KUTUA YANGA MAZIMA, GSM WAWEKA NENO

MAJEMBE HAYA MANNE YA KIMATAIFA YAKUBALI KUTUA YANGA MAZIMA, GSM WAWEKA NENO

Kwa majembe haya ya kimataifa Yanga washindwe wenyewe kwani yamekubali kutua:- Sven Yidah yeye ni

kiungo anakipiga ndani ya Kariobang Sharks.

Tuisila Kisinda yeye ni winga anakipiga ndani ya AS Vita.

Michael Sarpong yeye ni mshambuliaji raia wa Ghana anayekipiga ndani ya Rayon Sports ya Rwanda yeye ni mshambuliaji.

Mussa Mohamed yeye ni beki anakipiga ndani ya Nkana FC.

Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, Hersi Said aliweka wazi mpango wa kampuni hiyo inayoidhamini Yanga kufanya usajili wa maana ndani ya timu hiyo. “Muda wa usajili ukifika kila kitu kitakuwa wazi,”.

SOMA NA HII  SIMBA WAPEWA MAMILIONI YA KUTOSHA NA SportPesa