Home video VIDEO: KUMBE MANULA ALIAMBIWA UKWELI JAMBO LILILOMFANYA ATAKE KUGOMBANA

VIDEO: KUMBE MANULA ALIAMBIWA UKWELI JAMBO LILILOMFANYA ATAKE KUGOMBANA


NAHODHA wa Klabu ya Dodoma Jiji, Mbwana Kibacha ambaye alimsabishia kadi ya njano kipa namba moja wa Simba, Mei 26 kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho wakati ubao ukisoma Simba 3-0 Dodoma Jiji ameweka wazi kuwa kipa huyo alipaniki kwa kuwa alimwambia ukweli kwamba amedanganya jambo lililomfanya atake kugombana naye. 


Katika mchezo huo Manula alionekana akitaka kugombana na nahodha wa Dodoma Jiji ila alitulizwa na wachezaji wa Simba wakiongozwa na beki wa kati Pascal Wawa

 

SOMA NA HII  WAJUE WAPINZANI WA SIMBA KIMATAIFA