Home news VIDEO: NYOTA KAIZER CHIEFS, SIMBA ITAWEZA KUFIKIA MAFANIKIO

VIDEO: NYOTA KAIZER CHIEFS, SIMBA ITAWEZA KUFIKIA MAFANIKIO

NYOTA wa Kaizer Chiefs, Samir Nukovic amesema kuwa anaamini kwamba kwa wakati ujao Klabu ya Simba ina weza kufikia mafanikio na kuwa katika hatua nyingine. 


Simba ambao walikuwa ni wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika wameishia hatua ya robo fainali baada ya kufungwa jumla ya mabao 4-3 dhidi ya Kaizer Cheefs ambapo mchezo wa kwanza Afrika Kusini ubao ulisoma Kaizer Chiefs 4-0 Simba na ule wa pili ulisoma Simba 3-0 Kaizer Chiefs

 

SOMA NA HII  SALAMA JABIR AACHA KAZI EATV...ATAJWA KUWA NDIYE MSEMAJI MPYA SIMBA SC