OFISA Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa kuondoka kwa kiungo Carlinhos ni sehemu ya kutimiza furaha yake kama ambavyo aliandika kwenye barua yake alipoomba kuvunja mkataba. Bumbuli amesema kuwa nyota huyo amesema kuwa hakuwa na furaha ya kuwa ndani ya Yanga.