Home video VIDEO: OSCAR OSCAR ACHUKUA FOMU, TAZAMA MSAFARA WAKE ULIVYOKUWA

VIDEO: OSCAR OSCAR ACHUKUA FOMU, TAZAMA MSAFARA WAKE ULIVYOKUWA

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo ndani ya ardhi ya Bongo ambaye pia ni mtangazaji wa E Media, Oscar Oscar mzee wa kaliua leo Juni 9 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Uraisi wa Shirikisho la Soka Tanzania , (TFF)

 

SOMA NA HII  VIDEO:TAMBWE NINA OFA KIBAO,AZUNGUMZIA ISHU YAKE YA YANGA