Home Simba SC CHEKI UZI MPYA WA SIMBA KWA MECHI ZA KOMBE LA SHIRIKISHO

CHEKI UZI MPYA WA SIMBA KWA MECHI ZA KOMBE LA SHIRIKISHO

0


MABINGWA watetezi wa Kombe la Azam Federation Cup, Simba leo Juni  12 wametambulisha jezi mpya watakazotumia katika michuano hiyo.


Simba imetinga hatua ya nusu fainali baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji na itakutana na Azam FC katika hatua hiyo.