Home video VIDEO: MZEE WA UTOPOLO ATAKA MNATA AONDOKE, ISHU YA UBINGWA WAIKATIA TAMAA

VIDEO: MZEE WA UTOPOLO ATAKA MNATA AONDOKE, ISHU YA UBINGWA WAIKATIA TAMAA

SHABIKI wa Yanga maarufu kama Utopolo pamoja na mashiki wengine wamesema kuwa kwa sasa ubingwa wa Ligi Kuu Bara wameshaukosa ila ikiwa mchezaji anafikiria kwamba ni mkubwa kuliko Yanga hilo haliwezekani. Ameongeza kuwa Metacha Mnata kama anataka kuondoka Yanga aondoke.  

 

SOMA NA HII  VIDEO: TIBOROHA AFUNGUKIA JUU YA UCHAGUZI TFF, METACHA AWEKWE CHINI