Home video VIDEO: YANGA KUMSAJILI KIUNGO KUTOKA ZAMALEK

VIDEO: YANGA KUMSAJILI KIUNGO KUTOKA ZAMALEK


YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi ipo kwenye hesabu za kukamilisha dili la kumpata Farjen Sassi anayekipiga ndani ya kikosi cha Zamalek ambaye ni kiungo na inaelezwa kuwa ni chaguo la Nabi.

 

SOMA NA HII  VIDEO: HAJI MANARA AMKINGIA KIFUA MKEWE, ASEMA NI MAHABA TU