video
VIDEO: YANGA YAKAMILISHA USAJILI WA NYOTA 7
USAJILI wa Yanga kwa msimu wa 2021/22 umepamba moto baada ya mabosi hao kudaiwa kwamba wamekamilisha usajili wa nyota wa AS Vita, Djuma Shaban na inaelezwa kuwa hesabu zake ni kukamilisha usajili wa nyota 7.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.