epl

KANE HAJAONGEA CHOCHOTE NA TIMU YAKE KUHUSU KUSEPA

admin June 28, 2021 2:47 pm


 TAYARI Klabu ya Manchester City imeweka dau nono la Euro milioni 100 ili kuinasa saini mshambuliaji hatari wa Tottenham Hotspur, lakini nyota huyo anasema hajaongea chochote na timu yake hiyo wakati huu akiwa ni nahodha wa timu ya Taifa ya England kwenye Euro 2020.

 

Kane anasema kwamba, tayari amekwishaeleza mpango wake wa kutaka kuondoka Spurs katika usajili huu wa majira ya joto.

 

Kane mwenye umri wa miaka 27 anasema juu ya suala hilo hajaongea ama na kaka yake, Charlie ambaye ndiye wakala wake au na Spurs ambayo ndiyo mmiliki wake.

VIDEO: YANGA HAKUNA MAKANDOMAKANDO, SIMBA WAJE MUDA ULIOPANGWA HAJI MANARA AWAOMBEA MAFANIKIO YANGA KUELEKEA KWENYE MABADILIKO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply