video

VIDEO: YANGA HAKUNA MAKANDOMAKANDO, SIMBA WAJE MUDA ULIOPANGWA

admin June 28, 2021 1:47 pm

OFISA Uhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa hata akiondoka leo ndani ya Yanga anaamini kwamba atakuwa ameacha alama hasa kwa hatua ambayo wamefikia kwenye mabadiliko ambayo hayana makandomakando kwa kuwa awali alipoanza kazi wengi walikuwa wakimbeza namna anavyozungumza kuhusu uwepo wa mabadiliko.


 Pia ameweka wazi kuelekea mchezo wao wa watani wa jadi, Simba Julai 3 ambao ni wa ligi pamoja na ule wa fainali ya Kombe la Shirikisho wanapaswa wafike kwa muda ule uliopangwa. 

 

SIMBA HESABU ZAO NI MBELE YA YANGA, KWA MKAPA KANE HAJAONGEA CHOCHOTE NA TIMU YAKE KUHUSU KUSEPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply