Home Simba SC BWALYA KUTUA SIMBA ISHU YAKE IPO HIVI

BWALYA KUTUA SIMBA ISHU YAKE IPO HIVI


NYOTA wa timu ya Al Ahly ya Misri, Walter Bwalya inaelezwa kuwa dili lake la kutua Simba limefika hatua nzuri.


Bwalya alikuwa anapigiwa hesabu na Simba kwa muda mrefu jambo ambalo linawafanya waendelee kuiwinda saini yake.


Timu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes inahitaji saini ya mshambuliaji mmoja na anayetajwa kuwa katika hesabu za Simba ni Bwalya.


Taarifa zinaeleza huenda Simba ikapata saini ya mshambuliaji huyo kwa mkopo.

SOMA NA HII  NEEMA ZAZIDI KUMIMINIKA SIMBA...KAMPUNI NYINGINE YA MO DEWJI YAWEKA MZIGO MEZANI...