Home Azam FC LYANGA AJIPIGA PINI AZAM FC

LYANGA AJIPIGA PINI AZAM FC


NYOTA wa Azam FC,  Ayoub Lyanga ameingeza dili la miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo.

Nyota huyo ambaye ametupia jumla ya mabao 7 na pasi mbili ata ami ndani ya kikosi hicho mpaka 2024.

Nyota huyo alijiunga na Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina akitokea Klabu ya Coastal Union. 

SOMA NA HII  AZAM FC KAMILI GADO KWA MSIMU UJAO