Home Azam FC AZAM FC KAMILI GADO KWA MSIMU UJAO

AZAM FC KAMILI GADO KWA MSIMU UJAO


KIKOSI cha Azam FC kinaendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kwa msimu wa 2021/22 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ameweka wazi kwamba kila kitu kipo sawa na wanahitaji kufanya vizuri.

“Tupo tayari kwa ajili ya msimu mpya na tuna amini kwamba tutafanya vizuri hivyo mashabiki watupe sapoti,”.

Msimu uliopita wa 2020/21 Azam FC ilimaliza ikiwa nafasi ya tatu na pointi 68.

SOMA NA HII  BAADA YA KUTOKA SARE NA MBEYA CITY...MAKOCHA WAPYA AZAM WAVUNJA UKIMYA...WATAJA MABADILIKO...