Home video VIDEO: ALIYEWALETA CHAMA, BWALYA KUMLETA KIUNGO MWINGINE WA KAZI

VIDEO: ALIYEWALETA CHAMA, BWALYA KUMLETA KIUNGO MWINGINE WA KAZI

WAKALA wa wachezaji wa Clatous Chama anayetambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Soka, Fifa anatajwa kuwaletea kiungo Moses Phiri na dili hilo linatajwa kuwa limefikia katika hatua nzuri kwa sasa.


Wakala huyo ni Paricha Chikoye ambaye amekubali mchezaji huyo kutua Simba. 

 

SOMA NA HII  VIDEO:SHABIKI WA SIMBA MAARUFU KAMA DADA K AZIKUBALI JEZI ZA SIMBA