Home Habari za michezo KUSANYA MTONYO KADRI UWEZAVYO KUPITIA SAFARI ZA AVIATOR NDANI YA MERIDIANBET…

KUSANYA MTONYO KADRI UWEZAVYO KUPITIA SAFARI ZA AVIATOR NDANI YA MERIDIANBET…

Meridianbet

Meridianbet na promosheni ya kufungia mwezi oktoba kupitia mchezo pendwa ndani ya kasino ya mtandaoni, paa bure kila siku kuwa na meridanbet kwenye mchezo bora na pendwa wa Aviator unasubiri nini kuwa sehemu ya wanufaiki wa promosheni, jisajili sasa ili usipitwe na ndege ya pesa

Aviator au kindege ni miongoni mwa mchezo pendwa zaidi kwa wateja wa kasino ya mtandaoni na  Meridianbet kwa kukujali wewe mteja wetu wa thamani imeamua kutoa zawadi ya kufungia mwezi kwa wateja wote wa kasino ya mtandaoni kufurahia mwezi oktoba huku mfuko ukiwa umetuna kutoka kwenye free bet za aviator ambapo kuanzi tarehe 12 oktoba wateja wa kasino mtandaoni wamekuwa wakifaidika na promsheni ambayo inatarajiwa kufika tamati 30 oktoba, kuwa sehemu ya wanufaika sasa kwa kujiunga na meridianbet.

Meridianbet imekuwa sehemu salama kwa vijana kuweza kubashiri ambapo kwa dau dogo la kuanzia shilingi 200 na kuendelea unaweza kubadilisha siku yako na kuitwa milionea kupitia michezo yetu ya kasino ya mtandaoni ikiwemo, Aviator, Roulette, Keno na mingine kibao.

Huku ukiendelea kufurahia freebet za mchezo wa AVIATOR, kumbuka pia kucheza JACKPOT kubwa ambayo imekuja na shilingi Milioni Mia Mbili, (200,000,000) kwa dau la shilingi 1000 tu unabashiri mechi zako 13 na ukipata zote pesa hiyo yote ni yako na unaweza kutimiza ndoto zako ukiwa na Meridianbet pekee. Na hii ni kwa wateja wote wanaoutumia APP pamoja na kitochi yani USSD ambao watapiga *149*10# kubashiri sasa.

MASHARTI NA VIGEZO VYA PROMOSHENI HII

Ili kuingia kwenye promosheni hii lazima uwe umejisajili na Meridianbet kupitia tovuti yao ya www.meridianbet.co.tz ndipo unaweza kupata ofa hii inayotolewa na mabingwa wa kasino ya mtandaoni Tanzania.

Lakini pia kumbuka wakati unapocheza Aviator, beti za bure zitatokea kila siku angalau mara 20 kwa siku kwa wachezaji 10 kila muda, na wachezaji 10 wa mwanzo ambao watabonyeza kitufe cha “CLAIM” ndio watapata beti za bure.

Na hapo Meridianbet wanakuambia hivi hizo “free bet” ama beti za bure zina thamani ya shilingi 500 huku beti hizo hukaa kwa dakika 10 pekee hivyo mchezaji anahitajika kuzitumia haraka iwezekanavyo kabla hazijapotea. Baada ya hapo akishinda anaweza kutoa pesa yake ambapo zitafikia ODDS ya 1.95.

Hivyo mteja wa Meridianbet ukiwa unawaza wapi utapa ofa nzuri kama hizi jibu ni moja tuu napo ni Meridianbet ingia sasa na uingie kwenye promosheni hii ya Aviator ambayo imebaki na siku chache tuu imalizike.

Kumbuka kuwa masharti na vigezo lazima vifuatwe ili usije kukosa beti za bure zitolewazo hapa. Pia kumbuka Meridianbet wanayo haki ya kuondoa promosheni hii na kubadilisha sheria muda wowote.

JINSI YA KUKUSANYA MAOKOTO NA AVIATOR?

Ni rahisi tuu kukusanya maokoto ukicheza Aviator kwani kumekuwa na maswali mengi sana juu ya namna ya kupiga mkwanja. Ni hivi ukiingia kwenye mchezo wenyewe, angalia pembeni juu kulia utaona michezo iliyopita jinsi ambavyo inaeda hivyo inakuwa rahisi kwako kujua kama mzunguko huu ubeti au laa.

Kitu cha pili cha kuzingatia ni kama umebeti sehemu zote mbili na mzunguko unahisi utakuwa ni mrefu unaweza ukacash out beti moja na ukaacha nyingine iendelee ili hata kama ndege ikiianguka unakuwa umepata beti mojawapo.

Kitu cha tatu ambacho ni njia ya kukupatia pesa kwenye Aviator, ni kuzingatia dau kutokana na pesa uliyonayo, weka pesa kidogo dogo kwanza huku ukiangali mizunguko ya nyuma ndipo hapo baadae ukishapata pesa nyingi unaweza ukaongeza dau lkao kwani Meridianbet wamekurahisishia kwa kukuwekea dau la shilingi 200.

Kitu cha nne ni kuwa makini na uharaka wa “kucash out” kwani kindege huanguka kwa haraka pia hivyo ndugu mteja wa Meridianbet ukicheza Aviator unaweza kukusanya maokoto ya maana sana.

Meridianbet inakupa kile ambacho unakitaka wewe, unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye akaunti yako sasa na uanze kucheza Aviator mchezo ambao umekuwa pendwa sana kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni.

SOMA NA HII  HITIMANA: NIMEWATENGENEZA UPYA MKUDE NA AJIB...AFUNGUKA ALIVYOKATAA UKOCHA MKUU SIMBA...