Home video VIDEO: CLATOUS CHAMA AWASHURUKU WALIOKUWA NAYE BEGA KWA BEGA BAADA YA KUPATA...

VIDEO: CLATOUS CHAMA AWASHURUKU WALIOKUWA NAYE BEGA KWA BEGA BAADA YA KUPATA MSIBA

NYOTA wa kikosi cha Simba, Clatous Chama baada ya kupata pigo la kuondokewa na ubavu wake wa kushoto hivi karibuni na kukamilisha masuala ya kumpumzisha katika makazi ya milele, amewashukuru mashabiki wote duniani ambao walikuwa pamoja naye katika kipindi kigumu ambacho amekuwa akipitia.

 

SOMA NA HII  VIDEO: MANJI, GSM RASMI YANGA, KASI YAO TISHIO KWA SIMBA, KIKWETE ABARIKI