Home video VIDEO: KARIA MGOMBEA PEKEE NAFASI YA URAIS, WENGINE WAPIGWA CHINI MAZIMA

VIDEO: KARIA MGOMBEA PEKEE NAFASI YA URAIS, WENGINE WAPIGWA CHINI MAZIMA

LEO Juni 29, Kamati ya Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kupitia Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Benjamini Kalume imetangaza majina ya wagombea ambao wamepita kwenye mchujo wa awali huku kwa upade wa nafasi ya Uraisi ni Wallace Karia amepitishwa peke yake kwa maelezo kuwa amekidhi vigezo na wengine watatu wakipigwa chini mazima.

 

SOMA NA HII  KIBADENI AGUSIA ISHU YA CHAMA NA LUIS,AIONYA SIMBA KUHUSU YANGA