Home Uncategorized JEMBE LA YANGA LATUA NAMUNGO FC

JEMBE LA YANGA LATUA NAMUNGO FC

 

JAFFARY Mohamed rasta aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Yanga ameibukia Namungo FC baada ya kuachwa na Yanga.

Nyota huyo ambaye ni kiraka amesaini dili la mwaka mmoja ndani ya Klabu ya Namungo. 

Msimu wa 2019/20 alikuwa chaguo la kwanza la aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga,  Luc Eymael ambaye alifutwa kazi Julai 27 kutokana na kutoa kauli zilikuwa na viashiria vya ubaguzi wa rangi.

Jaffary amesema kuwa kazi yake ni mpira hana tatizo atapambana kufanya vizuri.

SOMA NA HII  NDAYIRAGIJE APANIA REKODI KUBWA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here