Home video VIDEO: KIPA WA MWADUI FC ATAJA SABABU YA TIMU HIYO KUSHUKA

VIDEO: KIPA WA MWADUI FC ATAJA SABABU YA TIMU HIYO KUSHUKA

MUSSA Mbissa kipa namba moja wa Mwadui FC amesema kuwa sababu kubwa ya timu hiyo kuyumba ni suala la maslahi kutokana na janga la Corona ambalo limevuruga mambo mengi.

 

SOMA NA HII  SHABIKI WA YANGA ANAAMINI KWAMBA SIMBA INAFUNGWA NA BIASHARA UNITED LEO