MUSSA Mbissa kipa namba moja wa Mwadui FC amesema kuwa sababu kubwa ya timu hiyo kuyumba ni suala la maslahi kutokana na janga la Corona ambalo limevuruga mambo mengi.