Home video VIDEO: MASHABIKI WA SIMBA WAKIKE WAMTAJA LUIS NA WAWA

VIDEO: MASHABIKI WA SIMBA WAKIKE WAMTAJA LUIS NA WAWA

MASHABIKI wa Simba wameweka wazi kwamba ushindi walioupata mbele ya Ruvu Shooting kwa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting ni furaha kwao, pia wametaja wachezaji ambao wanawakubali ikiwa ni pamoja na Pascal Wawa na Luis Miquissone.   

 

SOMA NA HII  VIDEO: TFF YASAINI MKATABA WA BILIONI 3 NA TBC