Home video VIDEO: METACHA MNATA HAJALIPWA YANGA, ISHU YAKE SIMBA MENEJA AFUNGUKA

VIDEO: METACHA MNATA HAJALIPWA YANGA, ISHU YAKE SIMBA MENEJA AFUNGUKA

MENEJA wa kipa wa Yanga, Metacha Mnata ambaye ni Jemedar Said amesema kuwa mchezaji wake huyo anawadai mabosi wake kwa muda mrefu na alicheza msimu uliopita bila kulipwa. Pia meneja huyo amesema kuwa alimwambia Mnata alichokifanya hakikuwa kizuri.

 

SOMA NA HII  VIDEO:TAMBWE NINA OFA KIBAO,AZUNGUMZIA ISHU YAKE YA YANGA