Home video VIDEO: SIMBA KUINASA SAINI YA KIUNGO OCHOWECHI WA NIGERIA

VIDEO: SIMBA KUINASA SAINI YA KIUNGO OCHOWECHI WA NIGERIA

IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes, anahitaji wachezaji watatu ambapo kati ya hao ni pamoja na beki, kiungo mmoja na mshambuliaji. Miongoni mwa wachezaji ambao wapo kwenye rada za Simba ni pamoja na kiungo, Oche Ochowechi raia wa Nigeria anayecheza ndani ya Klabu ya Plateau United. 

 

SOMA NA HII  MZEE DALALI:HANSPOPE NI PENGO KUBWA,MANARA HAYUPO SIMBA