Home video VIDEO: SIMBA, TUNASHINDA MBELE YA YANGA, WACHEZAJI WOTE WAPO SAWA

VIDEO: SIMBA, TUNASHINDA MBELE YA YANGA, WACHEZAJI WOTE WAPO SAWA

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa wanaamini kwamba kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, Julai 3 watashinda na kuchukua pointi tatu pamoja na kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara.

 

SOMA NA HII  SIMBA YASAINI DILI NA EMIRATE ALUMINIUM