Home video VIDEO: SIMBA YAMPA POLE MASAU BWIRE, AKUBALI MATOKEO

VIDEO: SIMBA YAMPA POLE MASAU BWIRE, AKUBALI MATOKEO


MTENDAJI Mkuu wa Simba, (CEO), Barbara Gonzalez amemwambia Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire kwamba yote  ni matokeo na amempa pole kwa kupoteza mchezo wao walipokutana Uwanja wa CCM Kirumba, Jana Juni 3, kwenye mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba, ubao ulisoma Ruvu Shooting 0-3 Simba. 

 

SOMA NA HII  KOCHA TWIGA STARS ABAINISHA WALIKUWA NA HOFU,SHANGWE LATAWALA