Home video VIDEO: SIMBA YASAJILI WATATU WAPYA

VIDEO: SIMBA YASAJILI WATATU WAPYA

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa wamekamilisha usajili wa wachezaji watatu kimyakimya kwa makubaliano ya kuwalinda wachezaji hao wasiweze kujulikana. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: KUHUSU CARLINOS KWENDA SIMBA, MANARA AJIBU