Home video VIDEO: TAZAMA UFUNDI WA DICKOSN AMBUNDO ANAYEWINDWA NA YANGA

VIDEO: TAZAMA UFUNDI WA DICKOSN AMBUNDO ANAYEWINDWA NA YANGA

KIUNGO mshambuliaji wa Dodoma Jiji ambaye amewahi kucheza Alliance, Dickson Ambundo anatajwa kuwa kwenye rada za Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Mbwana Makata. Nyota huyo ametupia jumla ya mabao matatu na ana pasi nne za mabao. Huu hapa ufundi wake akiwa ndani ya uwanja. 


Video Credit:Azam TV 

 

SOMA NA HII  VIDEO: KIKWETE AWAPA USHAURI YANGA, JAMBO ZURI LAZIMA LIELEZWE VIZURI