Home Simba SC VIDEO: MANULA, TUTAONYESHA UKUBWA WA TIMU UWANJANI ILI KUTWAA UBINGWA

VIDEO: MANULA, TUTAONYESHA UKUBWA WA TIMU UWANJANI ILI KUTWAA UBINGWA


AISHI Manula, kipa namba moja wa Simba amesema kuwa maandalizi yapo vizuri na wanahitaji pointi tatu mbele ya watani zao kesho Julai 3.


 Kuelekea kwenye mchezo huo amesema kuwa kila mtu anafahamu kwamba wakishinda watatangazwa kuwa mabingwa hivyo wataonyesha ukubwa wa Simba pamoja na ukubwa wa wachezaji ambao utawatangaza kuwa mabingwa wa 2020/21.

 

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI NA YANGA...PABLO AWAVIMBIA MABOSI SIMBA...AKATAA KUPANGIWA KIKOSI..LWANGA ATAJWA...