Tetesi za Usajili Yanga SC
Habari za Usajili Yanga

YANGA IMEUPIGA MWINGI…IMEMSAJILI FUNDI MALI….WAMALIZANA NAYE HOSPITALI

Marce Ben Komba March 15, 2023 2:09 pm

Klabu ya Yanga inaripotiwa kuwa imeshafunga hesabu za kumsajili fundi wa Singida Big Stars, Bruno Gomez kama mambo yataenda kama yalivyopangwa, ataonekana katika jezi za rangi ya kijani, njano au nyeusi katika msimu ujao.

Habari za uhakika kutoka ndani ya Yanga ambazo ni kwamba vigogo wa Yanga tayari wameshamalizana na Gomez wiki mbili zilizopita alipokuja Dar es Salaam kupatiwa matibabu.

SIMBA KUINGIZA MIL 2.2 KILA SEKUNDE 60…MO DEWJI AFANYA MAAJABU YAKE…JASHO NA DAMU KWA MKAPA MAAFANDE WATEMBEZA KIPIGO…WANYEMELEA LIGI KUU…KITUO KINACHOFUATA PAMBA FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply