Simba SC

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA YANGA

admin July 3, 2021 6:47 am


LEO Julai 3, majira ya saa 11:00 kunatarajiwa kuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Yanga ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Huu ni mchezo wa ligi ambapo Simba ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes imeweka wazi kwamba inahitaji pointi tatu muhimu.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachotarajiwa kuanza leo mbele ya Yanga namna hii:-

Aishi Manula

Shomari Kapombe

Joash Onyango

Pascal Wawa

Mohamed Hussein

Luis Miquissone

Taddeo Lwanga

Mzamiru Yassin

Clatous Chama

Chris Mugalu

John Bocco


Kwa mujibu wa Championi Jumamosi

ITALIA YATINGA NUSU FAINALI EURO 2020 BAADA YA KUSIMAMISHWA..NIYONZIMA AVUNJA UKIMYA YANGA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply