Home video VIDEO: JEMBE JIPYA KUTOKA BURUNDI LAKUBALI KUTUA YANGA

VIDEO: JEMBE JIPYA KUTOKA BURUNDI LAKUBALI KUTUA YANGA

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wapo kwenye hesabu za kukamilisha kupata saini ya kipa Erick Johola ambaye ni raia wa Tanzania anakipiga katika soka la kulipwa nchini Burundi.

 

SOMA NA HII  VIDEO: MUZIKI WA YANGA MSIMU WA 2021/22 ACHA KABISA, KIKOSI HIKI HAPA