video

SIMBA: TUNAKWENDA KUWAFUNGA YANGA, MPILI HACHEZI

admin July 19, 2021 12:47 pm

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa hawawezi kufungwa mbele ya Yanga mara mbili. 


Kuelekea kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Julai 25 wamebainisha kuwa watashinda fainali kwa ushindi.Ameweka wazi kwamba Mzee Mpili hachezi.

 

AZAM FC YAMALIZANA NA MSHAMBULIAJI WA ZAMBIA MZEE MPILI: SIMBA LAZIMA WAFUNGWE KIGOMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply