Home kimataifa JUVENTUS KUMSAJILI GABRIEL

JUVENTUS KUMSAJILI GABRIEL


KLABU ya Juventus imetajwa kuwa imeendelea kukomalia kuipata saini ya mshambuliaji wa Manchester City, Gabriel Jesus.

Habari zimeeleza kuwa Juventus ipo tayari kutoa mkwanja mrefu ili kupata saini ya nyota huyo raia wa Brazil.

Mabosi wa Juventus wanapambana kupata saini ya mshambuliaji matata ambaye ataungana na mshambuliaji wao Cristiano Ronaldo ndani ya kikosi hicho huku jina la Jesus likitajwa.

Huenda dili la nyota huyo likakamilika kwa sababu amekuwa hana nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza mbele ya Kocha Mkuu, Pep Guardiola hasa kwa msimu wa 2020/21.

SOMA NA HII  KOEMAN KUPIGWA CHINI BARCELONA